Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
kabla yay kuamua kufunga ndoa mliishi uchumba kwa kipindi cha muda gani?
maana naona saivi watu wanaishi uchumba na wanazaa na watoto kadhaa kabisa, lakini hawana habari ya kutambulishana makwao...
Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Kupotosha na kugombanisha serikali kwa wananchi ili waichukie kwa kuandika habari za uongo sasa umeyatimba, Kamanda Muliro amekuita pale central akachukue maelezo yako na akupumzishe angalau wiki...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Mie napenda kujaribu vitu vipya jikoni, mfano pishi jipya au hata viungo vipya au mchanganyo mpya wa viungo na pishi.
Japo kuna nyakati mara chache siyo mara nyingi huwa nikijaribu mchanganyo...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi.
TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.