Wadau hamjamboni nyote?
#HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi...
Bilionea Rostam Aziz mpaka sasa hajatuma hata sh 100 kwenda Tehran. Wakati huohuo mayaudi dunia nzima yanatuma mabilioni katika kusaidia war effort hapo mashariki ya kati.
Israel ndio nchi...
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira.
Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja.
Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja
Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana?
Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia?
Mimi...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.
PIA SOMA:
- LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel
- Mafuta kupanda bei baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.