Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro. Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake. Taarifa...
8 Reactions
124 Replies
5K Views
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm 2019 Simba 0 TP Mazembe 0 2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0 2022 SIMBA 1 ORLANDO...
4 Reactions
16 Replies
668 Views
Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria. Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1...
7 Reactions
27 Replies
781 Views
A
Anonymous
Hospitali ya Ekenywa wanalazimisha wateja wa Bima hasa NHIF kununua dawa kwao. Ukienda kutibiwa wanakwambia hii dawa haipo kwenye bima; ukienda Kwa mfamasia ukimuomba akuandikie jina la dawa...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikuwa na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? Kumbe siku hizi hata...
13 Reactions
145 Replies
3K Views
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika...
4 Reactions
14 Replies
455 Views
Mimi ni muumini wa Investment kwenye Soka, ninaimba sana hapa JF, siamini katika uchawi na maisha sio rahisi hivyo. Siamini porojo za media zinazofanywa na SSC na Yanga. Naamini katika pure...
1 Reactions
2 Replies
19 Views
Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha! Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10,000tsh Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia...
5 Reactions
26 Replies
524 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
506K Replies
28M Views

FORUM STATS

Threads
1,840,809
Posts
49,214,815
Members
664,092
Latest member
Mwivano Kaoneka
Back
Top Bottom