Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau nimeamua kuipitia KATIBA lili nione kama kuna Marekebisho yoyote yamefanyika ya Sheria mbalimbali ikiwemo ya WABUNGE. Nilichokuwa nakitafuta ktk KATIBA hiyo ni Suala zima la MBUNGE kupoteza...
1 Reactions
1 Replies
50 Views
Habari JF members.. Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe. Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda...
6 Reactions
34 Replies
474 Views
Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini...
4 Reactions
12 Replies
230 Views
Habari zenu wandugu, naomba kaushauri kidogo Kuna demu nilikuwa na mahusiano naye kabla ya yeye nilizaa na mwanamke mwingine. Huyu demu ambaye bado sikuzaa naye alinikubari sana kifupi wote hata...
0 Reactions
8 Replies
40 Views
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
6 Reactions
58 Replies
1K Views
Wanahabari, Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo...
0 Reactions
17 Replies
570 Views
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona . Jambo la...
23 Reactions
89 Replies
3K Views
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye...
32 Reactions
108 Replies
5K Views
TANGANYIKA ISIWE 'CASH COW' Kwa hisani na shukrani kwa gazeti la The Citizen...
16 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wanaJF Mwaka jana nilileta uzi kuomba msaada baada ya masiku ya kuhangaika na kukosa msaada kwa takriban miaka mitatu. Tatizo lilikuwa kukosa nguvu za kiume baada ya kuchepuka na aliekuwa...
5 Reactions
35 Replies
659 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,046
Posts
49,472,938
Members
666,572
Latest member
Binta Maso
Back
Top Bottom