Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu...
Mbunge Wa Arusha Mjini na Diwani Wa sombetini kamanda Ally Bananga wanusurika kutekwa na majambazi Makuyuni wakiwa wanatokea Dodoma usiku wa leo.. kwabahati Nzuri dereva wao Junior Mtatiro...
Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa.
Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke...
Diwani wa (CHADEMA), Kata ya Sombetini, Ally Bananga Binamu Bananga amesema yupo tayari kurudi (CCM) ikiwa viongozi wa chama hicho ambao wanataka kumnunua ikiwa watamuonyesha watu waliowatuma...
Baada ya UVCCM kutoa tamko kwamba huwa wanapoteza watu, na kisha kutoa amri kwa Jeshi la Polisi lisiwatafute.
Sasa kuna wakili "kapotezwa" tangu mwaka 2022, na wanaopoteza watu wamejitokeza...
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Hivi ndivyo Kiongozi wa serikali anapaswa kuenenda, nakupongeza Sana Dr Dorothy Gwajima na ni lazima tukutafutie Jimbo 2025
Waziri Dr Gwajima amemshukuru kwa ahsante mjumbe wa kamati kuu ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.