Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba...
5 Reactions
32 Replies
365 Views
Wakuu katika harakati za Kila siku nilijikuta nimeajiriwa na kampuni ya ujenzi ya kichina kama msaidizi wa mafundi. Sasa mnamo Jana kuna ubishi ulizuka watu wakawa wamesimama huku foreman alikuja...
3 Reactions
27 Replies
422 Views
Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
13 Reactions
111 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka. Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi...
4 Reactions
24 Replies
498 Views
Hakika naona sasa ni Wakati sahihi kwa Serikali na Mifuko husika kutoa ELIMU juu ya KIKOKOTOO na Mafao ya Wastaafu ili kuwajengea Uelewa mpana Watumishi wa Umma na Wastaafu watarajiwa. KIKOKOTOO...
4 Reactions
51 Replies
872 Views
Habarini wakuu Naomba tushirikishane kwa kutoa mawazo na maoni mbalimbali haswa kwa wenye ufahamu kuhusu hoteli za nyota tano, na pia wajenzi na wakandarasi ambao wana uzoefu wa kujenga majengo...
1 Reactions
5 Replies
19 Views
Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeleta athari katika wilaya ya Karatu mkoani Arusha, baada ya baadhi ya nyumba kufunikwa na kuzingirwa na maji, hivyo baadhi ya wananchi...
0 Reactions
10 Replies
38 Views
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele...
18 Reactions
123 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead...
41 Reactions
197 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,019
Posts
49,404,146
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom