Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na...
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye...
Anaejiita Nabii Mkuu bwana Geordabie Ametoa Msaada wa kiasi Cha Shilingi Milioni 100 Kwa Ajili ya ujenzi wa Barabara ya Likombo iliyoko huko Kisongo.
Aidha bwana Geordabie Akitoa Msaada wa...
Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo.
Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni...
Naagiza simu original China kama unataka kuagiza karibu (06877446471)
Kama kuna yeyote anatamani kuagiza simu kutoka China. Simu original karibu uagize namimi.
Namba zangu za simu ni 0687746471...
Wanahabari
Isack gamba, ahmed juma baragaza, fredwaa, ephraim kibonde, agnes almasy, samadu hassan, gardner g habash, prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.