Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi
Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8...
"Sisi hatushiriki Muungano Cup kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu,lakini tutakwenda Zanzibar kufatilia hali ya my wetu" - Alikamwe.
Ambapo tutajua amekula nini, amefikia wapi, ameimprove vipi...
Ni tetesi sio habari ya uhakika
Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF...
Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.
Sasa nikakubaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.