Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

habari Wana jf Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito [emoji24] pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao...
0 Reactions
31 Replies
203 Views
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
6 Reactions
30 Replies
434 Views
Wasalamu, Juzi nilienda buchani nikatoa 9000 naambiwa kg 1 Kwa Sasa ni 10,000. Mwaka huu vitu vinapanda bei Kila kukicha. Hatukatai vitu visipande bei ila frequency na tendency Kwa 2023 na 2024...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Baada kipigo cha Russia kwenye maficho ya NATO huko Ukraine NATO wameanza kumtafuta mchawi... #BREAKING Polish Lieutenant General Jaroslaw Gromadzinski, a commander of Eurocorps, a joint military...
1 Reactions
5 Replies
197 Views
Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro...
0 Reactions
5 Replies
54 Views
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
4 Reactions
11 Replies
337 Views
Baada ya kifo cha binadamu tumeelezwa kutakuwa na machaguo mawili kwenda kwenye uzima au moto wa milele. Moto unaozungumziwa hapo kwa wadhambi siyo huu tuuonao wenye nishati ya joto kali. Moto...
3 Reactions
22 Replies
406 Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
11 Reactions
121 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania na kazi iendelee. Kwa ndugu zangu wakristo nawatakia kwaresma njema na ndugu zangu waislamu nawatakia swaumu njema. Ikiwa imebaki siku moja...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki: Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke. Kumbe kwanini...
5 Reactions
32 Replies
750 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,259
Posts
49,195,238
Members
663,952
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom