Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika...
2 Reactions
8 Replies
38 Views
CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini. Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya...
15 Reactions
107 Replies
5K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
kabla yay kuamua kufunga ndoa mliishi uchumba kwa kipindi cha muda gani? maana naona saivi watu wanaishi uchumba na wanazaa na watoto kadhaa kabisa, lakini hawana habari ya kutambulishana makwao...
1 Reactions
36 Replies
420 Views
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
8 Reactions
80 Replies
1K Views
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa...
0 Reactions
24 Replies
136 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
123 Reactions
142K Replies
7M Views
Shalom, Karibu kwenye anga za mapenzi Kucheza ni kuchezeshwa, kuchezewa, kuchezeshana. Patamu ni kuchezewa na meza kunduka wanawake wako juu kwa sasa. Zama hizi raha imepamba moto upande wa...
0 Reactions
5 Replies
114 Views
Huyu Ney naye ni team kataa ndoa ? Au ametumia tu kazi ya sanaa kufikisha ujumbe wake ? Sikiliza ngoma lake hili la bachela
1 Reactions
24 Replies
230 Views
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
17 Reactions
125 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,059
Posts
49,473,395
Members
666,573
Latest member
Binta Maso
Back
Top Bottom