Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
7 Reactions
56 Replies
873 Views
Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara...
1 Reactions
19 Replies
180 Views
Watanzania biashara wanayoimudu ni Kuuza maneno yaani Siasa na si zaidi ya hapo Wamepewa Mwendokasi imewashinda wakaishia Jela Waarabu Wana history ya kufanya vizuri Kwenye Sekta ya...
4 Reactions
34 Replies
484 Views
Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali. Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza...
1 Reactions
8 Replies
132 Views
Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda...
23 Reactions
131 Replies
3K Views
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza
2 Reactions
11 Replies
124 Views
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa...
7 Reactions
23 Replies
702 Views
sina imani kama tutashinda,tutafungwa tu
3 Reactions
7 Replies
129 Views
Uwezo wa Guede Jr umekwisha onekana ni mtu wa kusubiri apenyezewe ball papatu papatu na Yeye afunge, Geuede Jr ni mzito na siyo mtafutaji (mkabaji) Kama afanyavyo Kennedy Musonda na Clement...
1 Reactions
19 Replies
555 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,301
Posts
49,196,656
Members
663,983
Latest member
Mr samson
Back
Top Bottom