Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N
atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata...
Bila shaka umaarufu wa chadema unashuka kwa kasi, maandamano yao huko Bariadi yamejaa vitoto vyenye umri chini ya miaka kumi, ambavyo hatabkura havitapiga.
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi...
Wako watu walipendekeza Jeshi la Polisi Livunjwe na Kuundwa upya , lengo likiwa ni kuliboresha kwa kutimua hawa waliopo wenye akili za kizamani wakiwemo akina Muliro na wenzake na kuleta Askari...
Kutokana na Takwa la KIKATIBA kuwa Mbunge lazima awe Mwanachama wa Chama cha siasa na Mbunge anapoteza SIFA ya kuwa MBUNGE pindi anapofukuzwa UANACHAMA na chama chake.
Halima Mdee na Wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.