Ikiamuacha MO dewji ambae ameridhi Mali za wazazi wake hkuna tajiri mwingine mweny degree Wala diploma wengi wao Ni darasa la Saba au darasa la nne ,kule Arusha matajiri wa darsa la nne wako wengi...
Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia
Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku
Leo Sina pesa kabisa ya kula...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.
Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..
Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa...
Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana...
Niaje waungwana,
Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.