Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kufahamishwa sababu ya serikali kushindwa kuruhusu ujenzi wa vituo vya Gesi asilia kuenea nchi nzima. Nimeona wabunge wakilalamika bila kuadress issues haswa ni kwa nini Kuna vituo viwili...
1 Reactions
11 Replies
97 Views
Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be...
0 Reactions
5 Replies
31 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
3 Reactions
5 Replies
17 Views
Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na...
25 Reactions
280 Replies
9K Views
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza. Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
6 Reactions
40 Replies
730 Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
40 Reactions
808 Replies
16K Views
Waaukumbi. American colleges and universities involved in the Palestinian protests: - Yale University University of Texas Columbia University Massachusetts Institute of Technology University...
0 Reactions
19 Replies
323 Views
Hivi hawa simba hawayajui maadili ya Kitanganyika na kiafrika? Mbona tulishaelezana sana humu mpaka tukaandika majarida! Video imewabamba simba dume watatu katika mbuga ya Serengeti wakipandana...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na...
66 Reactions
391 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,451
Posts
49,486,083
Members
666,743
Latest member
Dume Jembe
Back
Top Bottom