Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira.
Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja.
Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli...
Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile..
Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
Habari wakuu.
Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3.
Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana...
yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na...
Wakuu!
Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha...
KORASHI MKUU WA UAJEMI (Cyrus the Great of Persian Empire)
Unapozungumzia dola kubwa na muhimu zilizowahi kutawala kwenye mgongo huu wa dunia basi hutoacha kuzungumzia dola ya uajemi...
Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu.
Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha...
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.