Haya maisha bwana.
Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa Kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani.
Cha kushangaza baada ya wiki Moja...
Baada ya kuwakanda Simba S.C katika mchezo uliopita wa ligi ya NBC, mabingwa watetezi na vinara wa ligi kuu, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kuzisaka point tatu...
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani.
Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba...
Utasikia
fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka
Fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka
Fulani alivunja ndoa za wengi hapo zamani kaamua kuokoka
NONSENSE, UJINGA...
1.Acacia
Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi,Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda...
Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo
Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100
Majimbo ya uchaguzi...
Natumaini wazima
Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi
MAHITAJI
Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.