Leo napenda niwaambie sababu kubwa ya Israel kulindwa na mataifa ya magharibi na Baadhi ya nchi za kiarabu.
Naweza kusema sababu kubwa ni Iman za Dini na mind set za watu hasa Waafrika sababu...
Wanabodi,
Leo nimetembelea kurasa fulani za website ya UN, nikakutana na neno fulani la Kiswahili kwenye moja ya program za UN , neno hii inaonyesha Kiswahili kinazidi ku gain momentum. Neno...
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli...
ZANZIBAR NA LAMU ZINAVYOFANANA
Picha hiyo ya punda kabeba mizigo ni kwa hisani ya Abuu Shani.
Picha hii nimeipenda na imenikumbusha mara hyangu ya kwanza kufika Lamu mwaka wa 2007.
Nilikwenda...
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa
Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
Habari wakuu,
Leo kutakuwa na droo ya robo fainal ya ligi ya mabingwa ulaya.
Timu nane zimefuzu kwa ajili ya droo hiyo, ambazo ni;
Arsenal (England)
Atletico Madrid (Spain)
Barcelona (Spain)...
Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
Moja ya tamaduni ya zamani kabisa ni ile ya kuongea mwenyewe. Siku hizi ukiongea mwenyewe unaonekana chizi, hii haikuzuii kuongea mwenyewe au kujiongelesha mwenyewe ukiwa faragha.
Ukisoma...
Hii ndio sampuli ya yule mbunge wa Siha aliyejiuzulu na yule Mbunge wa Monduli aliyejiuzulu pia na kurudi ccm, ikumbukwe pia huyu Ally Bananga alikuwa ni mnazi na mkereketwa wa ccm kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.