Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views
Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei...
23 Reactions
263 Replies
5K Views
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni ukimwi...
10 Reactions
71 Replies
808 Views
Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists...
4 Reactions
14 Replies
308 Views
Na, Robert Heriel Ukiweza kujificha adui asikuone, nawe ukawa unamuona basi jua umemshinda adui huyo. Kujificha ni moja ya kanuni tatu bora za ushindi, kufanikiwa, kutimiza malengo, kumshinda...
72 Reactions
104 Replies
16K Views
Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima...
2 Reactions
7 Replies
109 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani. Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia...
12 Reactions
237 Replies
10K Views
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
1 Reactions
8 Replies
229 Views
Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua. kila nikikutana na mtu...
21 Reactions
90 Replies
2K Views
Mitaa ya Moshi mama mmoja kastukia mchezo wa mumewe baada ya kuwa anaaga anaenda msikitini kumbe anaenda kwa mchepuko. Jamani kwa nini hatumuogopi Mungu? Video CC: @zuli_comedy Instagram
0 Reactions
1 Replies
16 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,659
Posts
49,109,923
Members
662,953
Latest member
Bad Guys
Back
Top Bottom