Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Polisi wa Kidini nchini Nigeria wamekamata watu 11 siku ya Jumanne kwa kuonekana wakila chakula mchana katika mwezi wa Ramadhani. Watu hao wamekamatwa katika jimbo la kaskazini la Kano. Kano ina...
11 Reactions
99 Replies
2K Views
Supp haina huruma aise nilipokua chuo tokea nianze mpaka namaliza nilipata SUPP moja ya Economics ilikua ivi tulikua na madame m moja anatufundisha Economics alikua mpole, sio muongeaji...
6 Reactions
117 Replies
17K Views
Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye. Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi...
5 Reactions
28 Replies
805 Views
Huyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike. Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
1 Reactions
84 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
352 Replies
5K Views
Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa. Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo...
9 Reactions
41 Replies
407 Views
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema vijana wake wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly na wanahitaji kupata mabao mengi nyumbani, ili kujitengenezea mazingira mazuri...
5 Reactions
23 Replies
776 Views
The Weekend - Out of Time
16 Reactions
3K Replies
58K Views
Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo. Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya...
0 Reactions
1 Replies
45 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,434
Posts
49,201,897
Members
664,010
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom