Salaam, shalom,
Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo...
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake
Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki?
Msaaada naombeni
On this thread, I shall be sharing my personal views on a number of issues that includes politics, religion, sports, language skills, motivational words among others.
My aim is to avoid...
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha...
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.
Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Tulielezwa Chadema ina wanachama takribani milioni nane (8) ila Idadi ya wapiga kura chaguzi za ndani Chadema haifiki hata watu mia moja (100+) ipo chini ya watu 60 yaani kila Mkoa zilipofanyika...
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.
Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.
Nini kumetokea?
Maisha yangu yanaanzia mkoani Iringa katika mtaa wa Semtema A baada ya kuhitimu chuo 2019. Kodi ya geto ikawa imeisha kulingana msukumo wa mwenye nyumba nkaamua kuuza kilicho changu kama kitanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.