Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inakuwaje wanaJamiiForums Najua wanaJamiiForums mpo wakali wa movies humu, Mimi bwana Fene napendelea sana movies zilizo serious lakini zinakuacha ukiwa ni mwenye kucheka mwanzo mwisho...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
21 Reactions
125 Replies
1K Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
8 Reactions
98 Replies
4K Views
Time to put things in their perspective. Ring road in Dodoma U/C https://youtu.be/rU64ZWjGhUo?si=Jpaj_cip-MYwSz_C
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wanawaza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
11 Reactions
136 Replies
2K Views
Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya. Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate...
88 Reactions
258 Replies
17K Views
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Tumsifu Yesu Kristo. Sisi wakristo Tanzania na duniani leo ni siku kubwa sana kiimani ambayo tunakumbuka kusulubiwa na kufa Kwa Yesu Kristo. Sasa, ijumaa kuu tuna utaratibu wa kufunga na kutokula...
1 Reactions
3 Replies
15 Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
7 Reactions
126 Replies
2K Views
Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya. Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na...
7 Reactions
30 Replies
394 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,515
Posts
49,204,711
Members
664,043
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom