Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB).
Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji...
Jana Mheshimiwa Bashungwa mbunge mwenye sifa rukuki alitufungulia Bweni la shule ya KARADEA yenye capacity ya vitanda 320 waoo. Pamoja hotuba yake nzuri ya kuwaomba walimu wawafundishe watoto...
Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Wakubwa ni habari za wakati huu...
Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
Nimeitazama kwa makini hii nembo ya Muungano nikagundua kuwa Wazanzibari wametuzidi ujanja sana. Hebu cheki kwenye hiyo nembo, Tanganyika pamoja na ukubwa wake wote na idadi kubwa ya watu lakini...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu
ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.