Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Natoa tu angalizo kwa sababu siyo rahisi Wanafunzi kujidhibiti kumkimbilia Mbowe na kupata Baraka zake
Watoto na Vijana wanaamini kusalimiana na mtu mwenye Mafanikio ni Baraka
Ni hilo tu...
Utamsikia mtu anasema "hakika namchukia mtu fulani yaani sitaki hata kumwona "
Huyu hajui kuwa anajidhuru yeye mwenyewe,,, kwanza anaishi na nguvu hasi ambazo zina mwangamiza na kumtafuna yeye...
Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amekabidhi magari matatu mapya kwa ajili ya Wakuu wa Wilaya za Rombo, Mwanga na Same, yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 600 ili kuongeza ufanisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.