Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kitanzania ,mwenye nia ya kufanya mabadiliko kwa kuleta chachu ya maendeleo kwa kushiriki kulipa kodi na kufanya majukumu mengine kama raia
Changamoto...
Kila baada ya swala ya Ijumaa utawakuta watu mbele ya misikiti wametundika tunguli, vibuyu na dawa wanazozinadi kuwa zinatibu maradhi mbalimbali ya binadamu. Mara nyingi wanaenda kwenye misikiti...
Habari ndugu zangu,
Nina shida na namba ya ison bpo ltd toka BRELA, ISON ilikuwa inafanya kazi na Tigo miaka ya nyuma, ni kwa ajili ya madai ya PSSSF.
Nawasilisha wakuu.
Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama .
Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.