Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliegundua herufi alikuwa anawaza nini mfano: A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
7 Reactions
88 Replies
890 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
2 Reactions
76 Replies
2K Views
Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
5 Reactions
144 Replies
2K Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
15 Reactions
130 Replies
2K Views
Shalom, Kwenye injini ya gari ubora wa Piston ndio injini yenyewe. Maisha ni ladha, raha na utamu nao utamu ni pamoja na kuusikilizia. Sasa Mkataa kuoa kama kuna namna ya kupindua mtazamo basi...
1 Reactions
4 Replies
6 Views
Muigizaji maarufu Anorld Swazenegger akiwa katika picha ya pamoja na stunt man wake. Stunt ni mtu mwenye ufanano anaecheza vipengele hatari kwa niaba ya mhusika mkuu Hawa ma stunt ni watu wenye...
2 Reactions
10 Replies
122 Views
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
0 Reactions
8 Replies
183 Views
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi...
2 Reactions
5 Replies
133 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,935
Posts
49,435,248
Members
666,144
Latest member
peni yangu maisha yangu
Back
Top Bottom