Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X
Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani...
Kwenu wakuu.
Nimtangazaji aliyekuwa na sauti laini na nyororo, aliwahi fanya kazi Sahara Media na baadaye naskia alihamia Azam Media.
Nilikuwa nafatalia sana kipindi chake cha search line pale...
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.
Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa...
Nimemsikia Musukuma jinsi anavyojenga hoja kwa kuuliza maswali kuhusu kikokotoo,ni wazi inaonesha hawa wasomi wetu ni matapeli tapeli na hawana msaada wowote kwa jamii.
Ile tunaita emotional...
Huu mfumo ndio ulikua tegemeo kubwa hata kwa wavaa dera Iran.....
Ni dhahiri anayeutegemea amebaki uchi....
Kwa sasa mifumo ya Israel ndio mpango mzima, tukumbushiane haya matokeo
Iran imepoteza...
Wanoko wa CCM umewagalagaza kikweli kweli leo!
johnthebaptist msikilize Mchungaji Msigwa na wapelekee ujumbe wenzako, maana umelikomalia la Uenyekiti wa Mbowe as if bila kumtaja Mbowe kwako...
Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile..
Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
Hakika dawa ya mtu muongo huwa ni fupi sana.
Kumekuwepo na propaganda chafu zikienezwa kwa makusudi na watu kutoka CCM kwa makusudi ili kuleta mpasuko ndani ya CHADEMA.
Wanasema eti Msigwa...
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.