Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na...
2 Reactions
3 Replies
82 Views
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula. Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda. Kwa...
8 Reactions
25 Replies
346 Views
Atten: RTO na LATRA mikoa ya Dodoma na Singida, basi la ISAMILO T863 DSB kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, muda huu lipo Dodoma na limepakia abiria waliosimama zaidi ya 20. Cha ajabu basi...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
9 Reactions
40 Replies
560 Views
Amani iwe nanyi. Kwa wenyeji wa DSM na wazoefu wa hizi spa(ofisi za massage) nina swali kwenu. Mimi ni professional spa therapist (nafanya body massage, pedicure, manicure, facial treatments...
33 Reactions
224 Replies
10K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imefanya ziara ya kukagua Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kujionea majaribio ya treni hiyo ambayo yalianza hivi karibuni. Ziara...
0 Reactions
1 Replies
40 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
380K Replies
10M Views
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara. Huu upuuzi ukome,kama hawawezi...
6 Reactions
61 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,348
Posts
49,198,379
Members
664,001
Latest member
Acciboy
Back
Top Bottom