Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia. Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka.. Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa...
11 Reactions
65 Replies
3K Views
Kuna masala unaendelea mitandaoni juu ya hali ya hamasa kuelekea mechi ya kesho. Mashabiki wengi wa Simba pamoja na viongozi wao watasema derby hii imepoa kwa sababu wao sio wenyeji na...
0 Reactions
3 Replies
40 Views
Ni muhimu vijana kuwa Wazalendo, Tanzania ni yetu wala sio ya Wakenya, Tanzania itajengwa na Watanzania tu. Vijana ni muhimu kusimama na Serikali yenu, Hakuna kiongozi yeyote ambaye anafanya...
0 Reactions
10 Replies
48 Views
Ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Dada wa watu kachagua kilicho Bora kwake. Mengi yalisemwa kipindi cha msiba wa Fanuel, lakini Sasa ukweli umerhibitika.
3 Reactions
68 Replies
2K Views
Kwa faida ya wote hasa vijana wa kileo ni hivi hapo zamani sehemu kubwa za miji mingi haikuwa na lami. Barabara nyingi zilikuwa ni za vumbi. Sasa hawa funza walikuwa ni wadudu wadogo mithiri ya...
4 Reactions
31 Replies
214 Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
9 Reactions
73 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa JF nimetoka kusoma habari hii hapa chini kwenye strictly gosple. NDUGU YETU FANUEL SEDEKIA AMELALA JANA HOSPITALI YA PORIYA TIBERIA. MIPANGO YA KUULETA MWILI WAKE UNAFANYWA...
0 Reactions
54 Replies
29K Views
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu...
6 Reactions
65 Replies
827 Views
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia. Si upendo wa kiuchafuchafu...
14 Reactions
126 Replies
5K Views
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo Pia Soma - Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi...
3 Reactions
69 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,890
Posts
49,433,483
Members
666,118
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom