Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

PLN 0001 2BR Ramani ya Vyumba Viwili Living room (Sebule) 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C) 1 Single bedroom Kitchen (Jiko) Public toilet (Choo cha jumuiya) Ramani hii ina privacy...
31 Reactions
444 Replies
34K Views
Rais Samia anatarajia kuanza ziara ya siku 4 Nchini Uturuki tarehe 17/4/2024 Kwa Mualiko wa Rais huyo wa Taifa kubwa bwana Recep Yayib Erdogan. Huenda Samia ndio atakuwa Rais wa kwanza kufanya...
3 Reactions
8 Replies
304 Views
Taarifa sahihi ni msingi muhimu katika kuhakikisha haki zinapatikana katika jamii zetu. Hata hivyo, upotoshaji wa taarifa ni tatizo linaloweza kusababisha ukosefu wa haki kwa baadhi ya watu...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia. Si upendo wa kiuchafuchafu...
13 Reactions
110 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa...
6 Reactions
195 Replies
4K Views
Najua wengine watakimbilia kusema "motivational speaker", lakini hata kama wote watakejeli, kejeli zao hazitaubadili ukweli ninaoenda kuuwasilisha! Kenya ndiyo nchi inayoongoza Afrika Mashariki...
7 Reactions
15 Replies
253 Views
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
6 Reactions
28 Replies
370 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
1 Reactions
31 Replies
366 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,830
Posts
49,398,497
Members
665,736
Latest member
Magreth kivuyo
Back
Top Bottom