Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata...
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
19 Reactions
115 Replies
1K Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
7 Reactions
91 Replies
3K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
4 Reactions
765 Replies
18K Views
Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru. Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema...
1 Reactions
27 Replies
569 Views
KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’ Kijana alichonitafutia ni...
1 Reactions
5 Replies
167 Views
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
7 Reactions
57 Replies
821 Views
Mahakama ya Wilaya Kiteto, Imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela...
1 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,497
Posts
49,203,937
Members
664,041
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom