Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimesikia mahali kuwa mafuta taa ni sumu ya hatari sana kwamba mtu akimiminiwa ndani ya masikio hata dakika 5 hamalizi ngoma za masikio hupasuka na kufariki papo hapo. Jee ni kweli?
1 Reactions
10 Replies
16 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
506K Replies
28M Views
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
2 Reactions
6 Replies
29 Views
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa...
5 Reactions
50 Replies
383 Views
Hii ime kaaje wakuu, nimejaribu fikiria nimeshindwa pata jibu. Sasa mwanaume mwingine akija akioa huyo pacha mwingine si bado atakuwa ana kula pale pale ambapo mume wa mke wa kwanza ana kula ...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1. Nilifaulu nipangiwa mkoa kilimanjaro, nyumba ya ubalozi niliofikia kulikua na mfanyakazi wa ndani anatokea Tanga, Kwakua sikuwa na uzoefu sana jinsi alivyojua ananionesha nikajua ananipenda...
22 Reactions
42 Replies
2K Views
Habar JF, Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha...
20 Reactions
115 Replies
1K Views
Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia...
7 Reactions
42 Replies
1K Views
Mwamba apewe maua yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nahangaika kupika hapa siopoa wakuu na ukizingatia siwezi kula daku kwa mama ntilie na nimeçhoka nakazi ile mbaya. Mchumba wangu joannah nikuoe...
10 Reactions
62 Replies
555 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,666
Posts
49,208,722
Members
664,071
Latest member
merckme
Back
Top Bottom