Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
Habari za muda huu wanajamii,
Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.
Ndoa ni...
Watoto waliotelekezwa na baba zao hasa wale wa kiume huwa wanabahati sana,hiyo nimeprove kabisa yaani unakuta kuna vitu vinawaendea tu yaani luckly bila hata struggle sana kivile. Nini kipo behind...
Habari ndugu
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama...
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga...
Haya mje wana
Kuna dada amemwaga maji huko
Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa
Kijana kumpeleka nyumbani...
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana, kuna muda unatakani ufanye jambo lakini nafsi inasita, anyway ngoja nielezee ili Dunia ijue.
Mimi na wenzangu tumeshirikiana kuandika andiko hili...
Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.
Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch...
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Mobhare Matinyi
Msemaji Mkuu wa Serikali.
https://www.youtube.com/live/kSVvi88SDRM?si=OoFoglhEi2j10Okn
"Money Penny buana, nadhani nimepata true love,
Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii,
Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex
Nilipokuwa kifuani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.