Wakuu kwema
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina...
Kero nyingi za Wazanzibar kuhusu muungano, huibuliwa na kuchochewa na wanao kaa nje ya Zanzibar yaani wapo Ughaibuni huko, sisi tulioko huku tutawaaminije kama hawakutani na kutumwa na maadui wa...
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi...
Habari zenu wadau, mimi ni kijana, natamani siku moja niwekeze katika teknolojia, kwa muda kidogo nimekuwa nikijifunza programu kwa kujipambania mwenyewe. Nimejifunza kwenye simu kidogo kidogo, na...
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za...
Katika muendelezo wa kile waziri wa ardhi Jerry Silaa anachokiita kliniki ya ardhi na kutatatua changamoto za ardhi ameendelea kupuuza kabisa documents/nyaraka halali za serikali na mahakama za...
Salaam, shalom!!
Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto.
JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.