Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira.
Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja.
Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
KORASHI MKUU WA UAJEMI (Cyrus the Great of Persian Empire)
Unapozungumzia dola kubwa na muhimu zilizowahi kutawala kwenye mgongo huu wa dunia basi hutoacha kuzungumzia dola ya uajemi...
Jamani wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona ndugu yangu Mlundilwa Jr kaandika uzi wake akisema alimwambia dogo atoe elf20 lakini akagoma akasema bora atafute mwanamke aimalizie huko...
Habari zenu;
Kama hujawahi juiliza basi jiulize Je nani alimtoa mke wako bikra?Kama ni wewe je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?
Ni ukweli...
Wakuu kama heading inavyosomeka,
Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako.
Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni...
Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao.
Ifahamike kwamba Israel imekua...
Sitosahau siku nilipotaka kufa pale kiwandani
Ilikua mapema tar. 1/June 2022 nilipitia kipindi kigumu sana baada ya kuyumba kiuchumi na degree yangu mkononi ikanilazimu kujizima data na kutafuta...
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.