Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9.
Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu?
Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida!
Video imewabamba simba dume...
Hello
Nimepita pita mitandaoni leo nkakutana na caption hapo chini, sasa najiuliza ni uchawi au ni nini, huyo sista na uzuri wote huo anakosa mwanaume mmoja tu wa kumuoa na kumuweka ndani, hadi...
Wewe fikiria utembeee mwaka mzima peku na kusafiri peku nani anaweza hilo?
Mimi najuwa ili upate kibali kuna gharama za kulipia kibali hakiji hvhivi japo Kuna bahati pia.
"Kuna watu 34 wameweka maombi ambayo hayajalipiwa na hayana sifa ambapo kwa jumla wanashikilia eneo la ukubwa wa ekari 4,316,955 sawa na kuwa na mikoa ya Dar es Salaam 12, eneo lote hili limekaa...
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji...
Naomba kufahamishwa sababu ya serikali kushindwa kuruhusu ujenzi wa vituo vya Gesi asilia kuenea nchi nzima.
Nimeona wabunge wakilalamika bila kuadress issues haswa ni kwa nini Kuna vituo viwili...
Mambo,
Katika pitapita zang humu jf nmegundua kuna unique sign za wana jf, hata ukikutana nae live au ktk social network nyingine kama Instagram utamjua TU huyu ni jf member, kwangu ninazozjua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.