Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea.. Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti. Inashangaza sana. Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo...
17 Reactions
102 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
148 Reactions
12K Replies
4M Views
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na...
2 Reactions
29 Replies
883 Views
Nauliza tu nipate uelewa Dar Port yote imechukuliwa na DP World au ni Gati chache tu? Mlale Unono
1 Reactions
5 Replies
58 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio...
0 Reactions
10 Replies
250 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Wanaokopesha Kwa riba nafuu tafadhari tuwasiliane 0656980802 nahitaji 400,000 asap Kwa mwezi au miezi 2
0 Reactions
5 Replies
61 Views
Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu. Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k. Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu Lugha ya kiarabu -...
7 Reactions
17 Replies
257 Views
Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka. Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi...
4 Reactions
14 Replies
331 Views
Wakuu, Kuna vimesemo na vijimaneno huwa vinazuka na kubamba na kisha kupotea baada ya muda. Unakumbuka msemo gani uliobamba sana na kusepa na kijiji? Tupia hapa na watoto 2000 wapate vya...
1 Reactions
6 Replies
94 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,003
Posts
49,403,726
Members
665,807
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom