Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa muhanga wa kukuta mambo ndivyo sivyo katika mahusiano, yaani mwanamke nnaye mtaka kuna wakati simpati, nikimpata basi ndani ya muda mfupi namtaka mwingine...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
72 Reactions
4K Replies
245K Views
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu. Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia. Sharing is caring.
3 Reactions
31 Replies
385 Views
Habarini wana JF, Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi. Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki? Tutaweza kuona matukio...
2 Reactions
25 Replies
307 Views
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
4 Reactions
44 Replies
411 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
260 Reactions
424K Replies
15M Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
7 Reactions
23 Replies
249 Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
18 Reactions
147 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,795
Posts
49,429,752
Members
666,056
Latest member
regluccy
Back
Top Bottom