Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli? Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
INTRODUCTION: Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!! BODY Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa...
2 Reactions
17 Replies
400 Views
Kama una Laptop mbovu, au nzima umeichoka, au nzima hauitumii umeiacha tuu. Ilete nikupe pesa, bei ni maelewano, Ilala - KArume Dsm 0718290779
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
20 Reactions
168 Replies
5K Views
Habari kwenu wanajamii wote. Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali? Mwenye...
2 Reactions
10 Replies
81 Views
Nimekuwa najiuliza kwanini CCM TAIFA haikumchukulia HATUA za KINIDHAMU Mbunge wake PAULINE GEKUL licha ya Mh. RAIS kutengua UTEUZI wake? Ninaamini mpaka RAIS anatengua UTEUZI anakuwa amejiridhisha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa. Malawi imeilaumu Tanzania kwa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia. Sifa zake Awe mwanamke...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta...
4 Reactions
114 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,970
Posts
49,436,477
Members
666,153
Latest member
fifiii
Back
Top Bottom