Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita. Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea...
13 Reactions
87 Replies
1K Views
Kwa namna mlivyokufuru na kukubali dhambi msimu huu wa Ramadhan, mnaweza kuwapumbaza wachezaji wa Mamelodi lakin kuwazuia wasimsulubu kipa wenu mwenye miguu mizuri kama Asha Ngedere haiwezekani na...
0 Reactions
14 Replies
406 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
https://youtu.be/PzXidI7eSAM?si=rjlBLsmrAOEmFIai
2 Reactions
11 Replies
239 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
10 Reactions
60 Replies
877 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Kwa haya yanayo endelea hilo li nchi ni dola la Kiislam au ?
2 Reactions
24 Replies
155 Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
4 Reactions
46 Replies
342 Views
Ukiwa na akili ndogo unaweza kufikiri kula hadharani ni issue ya kawaida sanaa kumbe kuna watu wanasubiri kupelekwa mahalamani kwa kosa la kula hadharani daah
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Amani iwe nanyi. Kwa wenyeji wa DSM na wazoefu wa hizi spa(ofisi za massage) nina swali kwenu. Mimi ni professional spa therapist (nafanya body massage, pedicure, manicure, facial treatments...
34 Reactions
231 Replies
10K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,360
Posts
49,198,902
Members
664,001
Latest member
Acciboy
Back
Top Bottom