Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze MAHITAJI 1)Mchele kilo moja. 2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria DAR es salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu...
6 Reactions
24 Replies
276 Views
Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu. Mfano; 1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli. 2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa...
27 Reactions
293 Replies
17K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
11 Reactions
163 Replies
2K Views
Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike..... unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au...
5 Reactions
24 Replies
140 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
506K Replies
28M Views
Tunajua kwamba Mariamu alimpata Yesu kwa uwezo wa roho mtakatifu.... Lakini pia tunajua alikuwa mke wa halali wa Yusufu.... Inawezekana kweli kwamba kwenye maisha yao yote ya ndoa, baada ya Yesu...
2 Reactions
26 Replies
115 Views
Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically. Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake...
15 Reactions
131 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,692
Posts
49,209,357
Members
664,073
Latest member
merckme
Back
Top Bottom