Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa...
3 Reactions
19 Replies
91 Views
Huyu ni Mwanaume ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
1 Reactions
77 Replies
1K Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
15 Reactions
224 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
0 Reactions
9 Replies
383 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Joto la vita limeanza kupanda ndani ya Jordan ambayo pamoja na Misri ndizo nchi muhimu kwa usalama wa Israel. Wananchi wa nchi hiyo hawajaridhishwa na namna nchi yao ambayo ina udugu mkubwa na...
0 Reactions
4 Replies
56 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
1 Reactions
4 Replies
131 Views
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
11 Reactions
129 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,425
Posts
49,201,636
Members
664,012
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom