Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran...
Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta...
Huyu kiongozi wa UVCCM huko Kagera aliyesema atawapoteza Wapinzani na polisi wasiwatafute kama atakuwa bado yuko ofisini mpaka kufikia leo jioni baada ya kumsikia Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi...
Wakati Bunge la JMT linaendelea na kujadili Bajeti ya TAMISEMI,Mbunge wa Tarime Mwita Waitara amemwagia sifa Rais Samia Kwa kumwaga mabilioni ya miradi kwenye Majimbo na sekta zote alitaja kwamba...
Habarini wana JF!
Katika makuzi kila mmoja wetu amekua akiambiwa waheshimu ndugu zako wa damu, maana damu ni nzito kuliko maji! na hakika huu msemo unamake some sense, mpk mtu utakapo kuwa na...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.