Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani...
9 Reactions
45 Replies
608 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi. Cc: kataa ndoa
4 Reactions
30 Replies
691 Views
Habari za uzima, Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto...
1 Reactions
5 Replies
140 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
22 Reactions
2K Replies
14K Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ JKT Tanzania🆚Young Africans SC 📆 24.04.2024 🏟 Isamuhyo 🕖 10:00 Jioni
4 Reactions
17 Replies
157 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
511K Replies
29M Views
Kuna mambo Mawili muhimu sana, Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Mh. Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar...
15 Reactions
96 Replies
2K Views
Habari wanazengo? Mwezi ulipoita nilichukua simu aina ya Infinix hot 12 play nikawa natumia lakin charge yake nikasahau Mkoa flani na mimi nikaenda mkoa mwingine sasa nikawa naitumia na simu...
0 Reactions
4 Replies
40 Views
Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
16 Reactions
68 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,159
Posts
49,476,379
Members
666,600
Latest member
abuutz42
Back
Top Bottom