Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taarifa kutoka zinasema Helicopter ya Jeshi la Kenya imeanguka na kuwaka moto ikiwa na watu 9 ndani inasemekana pia alikuwepo General Ogola (CDF) Rais Ruto ameitisha kikao cha dharura
1 Reactions
5 Replies
94 Views
Baada ya kutokea kwa mauaji ya watu kadhaa, polisi wanafika eneo la tukio kwa lengo la kufanya uchunguzi. Katika eneo hilo wanakutana na miili isiyopungua mitatu, yote imelala mfu, wanaikagua na...
8 Reactions
26 Replies
920 Views
  • Sticky
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea. Tuambiane; - Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako? - Ni ya aina gani...
49 Reactions
22K Replies
2M Views
Ndugu zangu watanzania, Habari ya kusikitisha kutoka nchini kenya inasema ya kuwa mkuu wa majeshi wa nchi hiyo jenerali Fransis Ogolla amefariki Dunia kutokana na ajali ya ndege. Tuwaombee...
1 Reactions
3 Replies
44 Views
Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu...
2 Reactions
8 Replies
105 Views
Konsela wa Ujerumani Olaf Scholz hivi karibuni alifanya ziara nchini China ambapo alitembelea Manispaa ya Chingqing, ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara hiyo ya siku tatu. Hii ilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike...
0 Reactions
12 Replies
122 Views
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga apa sinza basi Kuna vibint vinasoma chuo cha ustaw wa jamii mwenge, vikitoka chuo tuu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa...
2 Reactions
24 Replies
255 Views
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna...
90 Reactions
1K Replies
113K Views
Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni...
0 Reactions
3 Replies
24 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,618
Posts
49,423,615
Members
666,015
Latest member
mzanzibar_4_real
Back
Top Bottom