Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
2 Reactions
71 Replies
2K Views
Rais wa JMT Dr Samia ametoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika Source: Clouds TV
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Kwa wale tuliopitia Makongo kuanzia enzi zabkuvaa kaptura mpaka suruali tukutane hapa kama wahenga tukumbushane ya kihenga kuanzia makundi ya NO LIMIT SOLDIERS, FEHAJ SISTERS.... Bila ya...
4 Reactions
185 Replies
22K Views
Kama ilivyo kwa upande wa wanaume kujichua ila wanaume unakua pekeyako. Kwa wanawake ni tofauti ni lazima wawe wawili waweze kugusanisha vikojoleo vyao. Na wakiulizwa sababu ya wao kufanya hivyo...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakubwa ni habari za wakati huu... Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
3 Reactions
39 Replies
618 Views
Wakuu habari, Embu tujadili hili swala hapa. Mimi baada ya kumaliza form 6 niliamua kujitolea kwenye shule fulani hivi ya sekondari nikisubiri kujiunga na chuo kikuu. Sasa bwana pale kuna...
2 Reactions
9 Replies
10 Views
Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko. Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita...
3 Reactions
20 Replies
303 Views
Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania...
3 Reactions
11 Replies
210 Views
  • Sticky
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
15 Reactions
16K Replies
1M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,371
Posts
49,484,084
Members
666,712
Latest member
MC-MCHOKOZI
Back
Top Bottom