Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katibu Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema yeye na Dr Nchimbi wamesikiliza Kero 148 kwenye Mikoa 5 hadi sasa na kuzipatia ufumbuzi --- Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla...
0 Reactions
7 Replies
212 Views
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa ya sogee , sasahivi nimegundua kumbe...
1 Reactions
1 Replies
6 Views
Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliegundua herufi alikuwa anawaza nini mfano: A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I...
0 Reactions
2 Replies
47 Views
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
8 Reactions
146 Replies
1K Views
Bado niko na nyie TAMISEMI nani anawatia kiburi cha uzima? mmefungua page mitandaoni ila hamna mtu mnaweza kumjibu, mmeweka huduma kwa wateja ila wahudumu mmewaweka kama pambo hawaelewi chochote...
3 Reactions
17 Replies
414 Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
17 Reactions
140 Replies
2K Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
11 Reactions
67 Replies
698 Views
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe...
9 Reactions
28 Replies
373 Views
Hiyo ndio asili ya Mwafrika. Kiasili na kwa utamaduni wake Mwafrika sio wa kuwa na mke mmoja. Turudi nyumbani kumenoga. Kwani kuna kwere eti wajameni?
4 Reactions
9 Replies
164 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,940
Posts
49,435,487
Members
666,140
Latest member
peni yangu maisha yangu
Back
Top Bottom