Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing).
Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake.
Source: Tecnico Informatico
Msimu uliopita makolo walijigamba kuwa wachezaji wake wote waliibiwa Kwa Yanga pale walipokanyaga tu airport....Kwa msioelewa ni hivi ....Yanga inatafuta wachezaji then inawakodia ndege but...
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Haya na Wengine mnaolitaka Jimbo la Kawe 2025 kuweni makini Dogo ameshaanza Kuingizwa Kundini kwani muda wote alikuwa anatamba kuwa iwe isiwe 2025 yeye ndiyo Mbunge wa Kawe na tayari ana kama...
"Sisi hatushiriki Muungano Cup kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu,lakini tutakwenda Zanzibar kufatilia hali ya my wetu" - Alikamwe.
Ambapo tutajua amekula nini, amefikia wapi, ameimprove vipi...
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.