Wakuu kwema?
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable.
Imagine mke...
kila siku tunaimba kuwa ligi yetu imepanda kwa ubora na inasemekana kuwa ipo nafasi ya tano kwa ubora Africa, nimeshangazwa sana toka jana baada ya mchezo wa jkt Tanzania vs Yanga sc kuahirishwa...
Alhamisi, Aprili 25, 2024
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo...
Habari za uzima,
Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto...
Tupigie tuje kukutengenezea Laptop/Desktop iwe Mac au Windows PC
Ofisini/Nyumbani.
Pia Tunauza Spare za Laptop/Macbook kama
Batteries
Chargers
Keyboard
Housing
Hdd/SSD/Ram Memories
Softwares...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.