Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzuka Wanajamvi! Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds...
15 Reactions
108 Replies
5K Views
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa...
12 Reactions
123 Replies
2K Views
Unapotenguliwa fahamu kuwa ni muda uliotimia wewe kuwa mtumishi. Fikiri mengi lakini zungumza machache, Sikiliza wengi lakini jibu wachache, Andika mengi lakini ya ibada na shukurani,
3 Reactions
3 Replies
120 Views
Miaka kadhaa huko nyuma nikiwa chuo mkoa flan jiran yetu kulikuwa na Chuo cha Tpsc(wanaita Uhazil enzi hizo) Walikuwa kila term wanaletwa wapya(wakawa wanaita kontena imemwaga) Basi wakija wapya...
10 Reactions
54 Replies
8K Views
TAMBUA UNYWAJI SAHIHI WA POMBE Kitu cha msingi kwenye pombe siyo kujua aina ya beer au kilevi. Kitu cha msingi ni kujua percentage of pure alcohol (asilimia ya pombe halisi) na ujazo wake (...
22 Reactions
76 Replies
2K Views
Awali ya yote nitangulize angalizo kwa vijana ambao maturity stage imewakuta miaka hii ya mitandao ya kijamii. Itabidi msome kimyakimya huku mkiwa mmeshika peni na karatasi kuchukua notes. Huu...
155 Reactions
2K Replies
180K Views
Mimi ni: Kujana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa...
3 Reactions
29 Replies
253 Views
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na...
60 Reactions
340 Replies
11K Views
Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa...
36 Reactions
99 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters...
37 Reactions
243 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,264
Posts
49,481,124
Members
666,679
Latest member
Himself_54
Back
Top Bottom