Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula. Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda. Kwa...
3 Reactions
5 Replies
54 Views
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara. Huu upuuzi ukome,kama hawawezi...
6 Reactions
58 Replies
1K Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
10 Reactions
68 Replies
943 Views
Kila mwaka ni yale yale. Wizi, ufisadi, maendeleo duni na uzandiki. Nani atawasemea watanzania wanaoibiwa na kuporwa rasilimali zao? Uzandiki na utapeli wa kisaisa umeshamiri kama uyoga kwenye...
0 Reactions
3 Replies
29 Views
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
70 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu, Kama utataka kuoa/kuolewa nakushauri usikubali kufunga ndoa na mtu anaenyonya sehemu za siri. Nitakupa sababu za kwanini usifanye hivyo, sababu zenyewe ni kama ifuatavyo, 1)...
11 Reactions
69 Replies
3K Views
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
13 Reactions
102 Replies
3K Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
32 Reactions
604 Replies
11K Views
kiwanja Kinauzwa Kipo Mbweni ukubwa wa kiwanja sqm 711 kimezungushiwa ukuta ni kiwanja cha Tatu kutoka barabara ya lami kina hati miliki Tuwasiliane 0712464777 whatsap & call 0769070247...
4 Reactions
12 Replies
351 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,334
Posts
49,197,870
Members
663,997
Latest member
Mr true
Back
Top Bottom